Sunday, December 18, 2011
Ni bora kujitambua na kuchukua hatua
Ni muda mfupi umepita tangu david cameroon prime minister wa britain aseme nchi za jumuiya ya madola zipitishe homosuxual ili kupata misaada kutoka uk, serikali ilitoa tarifa ya kupinga hoja hiyo, lakini je nihatua gani imechukua kupinga misaada ya nchi hiyo, rai yangu kwa serikari na wanachi kwa ujumla kujishughurisha katika kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla ili kulinusuru taifa na misaada yenye masharti ya kutudharilisha waafrica, tunatakiwa kuwa weredi katika kufikili maamuzi yetu na kujikita katika shughuli za maendeleo,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment